Hapana, Uislamu ni dini ya amani na unyenyekevu kwa Mungu, na unasisitiza utakatifu wa maisha ya mwanadamu.
Neno "Uislamu" linatokana na mzizi mmoja na neno la Kiarabu “Salam,” linalomaanisha amani. Uislamu, ambao ni dini ya rehema, haukubali ugaidi kwa namna yoyote.
shiriki: